Saturday, 14 January 2017

VAZI JEUPE NA MUKTADHA WAKE.

Habari zenu wapendwa, ni imani yangu kwamba mko  poa zaidi, Karibuni tena katika masuala Yetu ya Urembo, na Leo nataka kuwajuza kuhusu Vazi Jeupe na muktadha wake.
1. Vazi jeupe huvaliwa katika Sherehe mbalimbali mfano; Harusi ,na  kipaimara . Katika mazingira hayo Vazi Jeupe huonekana kuwa Vazi linalompendeza sana mlengwa alielivaa, kwani Vaz Jeupe lina asili ya kutomkataa MTU yeyote anaelivaa kulingana na Eneo alilopo.
Hivo Vazi Jeupe n Vazi ambalo huvaliwa sana na Maharusi, na waimarishwa.
Unapovaa Vazi hakikisha linaendana na muktadha uliopo, na sio kuvaa tuu ilmradi.

Tukutane Teena simu nyingine kwa Urembo zaidi.

No comments:

Post a Comment