Monday, 9 January 2017

JINSI YA KUPAKA WANJA.

Habari Zenu wapendwa.
Napenda kuwaelekeza namna ya kupaka wanja na Kukufanya uonekane mrembo zaidi na mwenye kuvutia machoni pa Watu.

ZIFUATAZO NI HATUA ZA KUPAKA WANJA.
1.Kabla hujapaka wanja , kwanza hakikisha Nyusi zako no Safi.
2.Kisha andaa Wanja wako pamoja na kitana kidogo kwa ajili ya kuchania Nyusi zako.
3.Chana Nyusi zako kwa mtindo Mzuri ambao wewe utaupenda, kisha Chukua Wanja  wako na kisha  upake
 chini ya Nyusi zako ambazo tayari Umekwisha zichana,Hakikisha unapaka Vizuri kabisa wanja wako ili kuweza kukufanya Upendeze na kuonekana mrembo zaidi.
5.Baada ya kupaka wanja chini ya Nyusi, paka  tena wanja huo juu ya Nyusi zako kwa kufuata jinsi Ulivozichana Nyusi zako.
6.Kisha rudia kuchana tena Nyusi zako kwa kitana ,kwa kufuatisha jinsi ulivopaka wanja wako, Kisha  baada ya hapo utaonekana mrembo na mwenye kuvutia zaidi.

Tukutane

No comments:

Post a Comment