Wednesday, 25 January 2017

MADHARA YA VIPODOZI.

Hakuna chenye faida pasipo na Hasara, hivyo basi ingawa vipodozi vinatufanya tupendeze, lakini pia vina madhara yake. Mfano;
i.kuharibu ngozi endapo vitatumika tofauti.
ii.kusababisha matatizo ya ngozi .
iii. Huweza kuifanya ngozi ionekane ambayo haina mvuto .
iv.Huweza kuifanya ngozi kupoteza mvuto wake halisi.

No comments:

Post a Comment