Monday, 16 January 2017

TUMIA YAI KULAINISHA NGOZI YAKO.

Je wajua kuwa , Ijapokuwa yai watu wengi hulitumia katika Mapishi, lakini pia Yai huweza kufanya ngozi yako kuonekana nzuri na Yenye mvuto.Ungana nami Leo ili nikujuze Jinsi yai linavyoweza kuubadili muonekano Wa Ngozi yako kiujumla.
1.Chukua Yai, changanya na asali kijiko kimoja, kisha changanya pia na Mafuta ya Olive.
2.Chukua mchanganyiko huo, paka usoni kwako  ,na uuache kwa mda Wa dakika (10-15).
3.Chukua ute Wa yai, kisha ukoroge hadi uonekane kama povu, kisha Chukua povu hilo na kupaka katika mwili wako wote.
5.Liache povu hilo LA ute Wa yai, kwa takribani mda Wa dakika (5-10).
6.Kisha Chukua maji ya Uvuguvugu na uoshe USO wako, Ukifanya hiyo Mara kwa Mara , Itasaidia kukuondolea madoa ya chunusi na vipele katika USO wako. Pia itasaisia kukuondolea alama  mbalimbali za Michubuko katika ngozi yako.
Endelea k

No comments:

Post a Comment