Vitu vinavyotakiwa;
i/ Foundation powder
ii/ Make-up blashes.
iii/ Mascara.
iv/ Wanja .
v/ Lipgloss.
Jinsi ya kupaka;
Anza kwa kupaka foundation powder, kisha Chukua makeup blashes chana Nyusi zako, kisha mpaka wanja wako vizuri, Chukua makeup poda paka tena usoni, kisha Chukua Lipgloss mpaka kwenye mdomo ili kulainisha midomo yako, Baada ya hapo Chukua lipstick Yenye rangi nzur kisha paka mdomoni ili kuzifanya lips zako zipendeze.
Kwa kifupi
No comments:
Post a Comment