Yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati Wa kusema sawa kwenye Nywele.
1.Fumua Nywele zako, Chukua chanuochana Nywele zako kwa mda Wa dakika (2-3).
2.Chukua taulo jifunike shingoni , ili kuepuka sawa ya Nywele isikufikie shingoni.
3.Chukua mafuta au pods nyeupe, Pakaa maeneo ya pembeni ya kichwa ili kuzuia kudhurika na dawa kwenye ngozi yako.
4.Vaa gloves ambazo zitaisaidia Mikono yako kutodhurika na sawa hiyo ya Nywele ambayo kiuhalisia ina chemicals ambazo zinaleta madhara ktk ngozi pindi zinapoingia kwenye ngozi.
5.Chukua dawa ya Nywele kisha anza kupaka kwa kuanzia chini hadi juu,kwa kuzigawa Nywele katika mafungu.
6.Uache mchanganyiko huo Wa Nywele na dawa kwa mda Wa dakika (10-15).
7.Baada ya hapo , Zioshe Nywele zako kwa maji safi, kisha ziache zikauke.
Hadi kufikia hapo sina cha ziada.
No comments:
Post a Comment