Namna ambavyo mtu a naweza kutumia Chumvi ili kuondoa chunusi na mikunjo katika uso.
Jinsi ya kufanya;
1.Nawa/osha uso wako kwa maji safi ya kawaida.
2.Chukua kitambaa safi na laini, chovya kwenye Chumvi, kisha anza kusugua taratibu uso wako, au hata mwili mzima.
3.Weka kitambaa pembeni , Anza kusugua uso wako kwa kuntumia Mikono yako, Fanya zoezi hilo mpaka hapo utakapoona uchafu unatoka usoni.
4.Uache uso wako kwa mda Wa takribani dakika (3-5) ili kuipa nafasi Chumvi kufanya kazi yake katika kuondoa mikunjo na Chunusi katika ngozi yako.
5.Baada ya hapo,osha uso wako kwa maji safi ya baridi.
Jitahidi kufanya zoezi hilo Mara mbili kwa wiki na ni wazi kwamba utayaona mabadiliko katika ngozi yako.
No comments:
Post a Comment