Hakuna chenye faida pasipo na Hasara, hivyo basi ingawa vipodozi vinatufanya tupendeze, lakini pia vina madhara yake. Mfano;
i.kuharibu ngozi endapo vitatumika tofauti.
ii.kusababisha matatizo ya ngozi .
iii. Huweza kuifanya ngozi ionekane ambayo haina mvuto .
iv.Huweza kuifanya ngozi kupoteza mvuto wake halisi.
Wednesday, 25 January 2017
Thursday, 19 January 2017
NAMNA YA KUPAKA SIMPLE DAILY MAKE- UP.
Vitu vinavyotakiwa;
i/ Foundation powder
ii/ Make-up blashes.
iii/ Mascara.
iv/ Wanja .
v/ Lipgloss.
Jinsi ya kupaka;
Anza kwa kupaka foundation powder, kisha Chukua makeup blashes chana Nyusi zako, kisha mpaka wanja wako vizuri, Chukua makeup poda paka tena usoni, kisha Chukua Lipgloss mpaka kwenye mdomo ili kulainisha midomo yako, Baada ya hapo Chukua lipstick Yenye rangi nzur kisha paka mdomoni ili kuzifanya lips zako zipendeze.
Kwa kifupi

MATUMIZI YA CHUMVI KATIKA KUONDOA MIKUNJO NA CHUNUSI.
Namna ambavyo mtu a naweza kutumia Chumvi ili kuondoa chunusi na mikunjo katika uso.
Jinsi ya kufanya;
1.Nawa/osha uso wako kwa maji safi ya kawaida.
2.Chukua kitambaa safi na laini, chovya kwenye Chumvi, kisha anza kusugua taratibu uso wako, au hata mwili mzima.
3.Weka kitambaa pembeni , Anza kusugua uso wako kwa kuntumia Mikono yako, Fanya zoezi hilo mpaka hapo utakapoona uchafu unatoka usoni.
4.Uache uso wako kwa mda Wa takribani dakika (3-5) ili kuipa nafasi Chumvi kufanya kazi yake katika kuondoa mikunjo na Chunusi katika ngozi yako.
5.Baada ya hapo,osha uso wako kwa maji safi ya baridi.
Jitahidi kufanya zoezi hilo Mara mbili kwa wiki na ni wazi kwamba utayaona mabadiliko katika ngozi yako.

Tuesday, 17 January 2017
FAHAMU DAWA TANO ASILIA ZA KUONDOA CHUNUSI.
1.LIMAO.
Limao hujulikana kwa weng kama kiungo cha kuleta radha katika mboga, lakini kwa Upande mwingine , Limao ni dawa asilia ambayo huondoa chunusi katika ngozi .Jinsi yakutumia; Chukua Limao kisha likate katika vipande Viwili, halafu likamue Limao lako kisha Chukua maji ya Limao hilo na kuyapaka katika eneo/sehemu ambayo Ina chunusi, na uiache kwa muda wa dakika (5-10),
Baada ya hapo uoshe USO
wako kwa maji safi Yenye uvuguvugu.
2.ASALI.
Hii pia ni dawa asilia kabisa ya kuondoa chunusi katika ngozi,ijapokuwa Asali imekuwa ni dawa inayotibu magonjwa mbalimbali.Jinsi ya kutumia;
Weka asali kidogo kwenye sehemu ambayo ina chunusi, na uiache ifanye kazi kwa mdawa dakika (10-15), Kisha osha uso wako kwa maji yenye uvuguvugu.
3.PAPAI.
Hili ni tunda, ambayo watu wengi huwa hawajagundua kuwa tunda hilo pia n dawa asilia kabisa ambayo ina mchango makubwa kuondoa chunusi katika ngozi. Jinsi ya kufanya;Chukua kipande cha papai na kisha ponda ponda vipande vidogo vidogo,kisha Chukua vipande hivo vilivyopondwa kisha vipake kwenye sehemu ambayo kuna chunusi, Iache dawa hiyo ifanye kazi kwa mda Wa dakika (5-10), baada ya hapo osha uso wako kwa maji ya kawaida.
4.DAWA YA MENO.
Dawa ya meno, kama tunavyofahamu wengi wetu ni kwamba katika dawa ya meno huwa kuna kemikali ambazo huua bacteria katika meno, vivo hivo katika kuondoa pia chunusi katika ngozi, lakini so kila dawa ya meno,inauwezo wa kuondoa chunusi, lakini hii ni kwa zile dawa za meno ambazo ni (non-gel) tuu, ndo zenye uwezo wa kuondoa chunusi.
5.PODA.
Ijapokuwa poda ni moja ya Urembo, lakini pia kwa Upande mwingine poda hutumika kama dawa ya kuondoa chunusi usoni.Lakini si kila pods inao uwezo wa kuondoa chunusi ,Unashauriwa kupaka baby powder usiku na Kuniacha hadi asubuhi.Ukifanya hivo mara kwa Mara utaufanya uso wako kuondokana na chunusi.
Kwa Leo naomba niishie hapo, Lakini nakushauri tuu kwa wewe ambae ulikuwa unasumbuliwa kwa mda mrefu na chunusi, na Huenda ulikuwa bado hujapata dawa asilia za kuondoa chunusi , naomba zingatia maelekezo ya DAWA hizo hapo juu, kisha utajionea mwenyew Matokeo mazuri ya ngozi yako.

Monday, 16 January 2017
TUMIA YAI KULAINISHA NGOZI YAKO.
Je wajua kuwa , Ijapokuwa yai watu wengi hulitumia katika Mapishi, lakini pia Yai huweza kufanya ngozi yako kuonekana nzuri na Yenye mvuto.Ungana nami Leo ili nikujuze Jinsi yai linavyoweza kuubadili muonekano Wa Ngozi yako kiujumla.
1.Chukua Yai, changanya na asali kijiko kimoja, kisha changanya pia na Mafuta ya Olive.
2.Chukua mchanganyiko huo, paka usoni kwako ,na uuache kwa mda Wa dakika (10-15).
3.Chukua ute Wa yai, kisha ukoroge hadi uonekane kama povu, kisha Chukua povu hilo na kupaka katika mwili wako wote.
5.Liache povu hilo LA ute Wa yai, kwa takribani mda Wa dakika (5-10).
6.Kisha Chukua maji ya Uvuguvugu na uoshe USO wako, Ukifanya hiyo Mara kwa Mara , Itasaidia kukuondolea madoa ya chunusi na vipele katika USO wako. Pia itasaisia kukuondolea alama mbalimbali za Michubuko katika ngozi yako.
Endelea k

JINSI YA KUPAKA DAWA KWENYE NYWELE.
Yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati Wa kusema sawa kwenye Nywele.
1.Fumua Nywele zako, Chukua chanuochana Nywele zako kwa mda Wa dakika (2-3).
2.Chukua taulo jifunike shingoni , ili kuepuka sawa ya Nywele isikufikie shingoni.
3.Chukua mafuta au pods nyeupe, Pakaa maeneo ya pembeni ya kichwa ili kuzuia kudhurika na dawa kwenye ngozi yako.
4.Vaa gloves ambazo zitaisaidia Mikono yako kutodhurika na sawa hiyo ya Nywele ambayo kiuhalisia ina chemicals ambazo zinaleta madhara ktk ngozi pindi zinapoingia kwenye ngozi.
5.Chukua dawa ya Nywele kisha anza kupaka kwa kuanzia chini hadi juu,kwa kuzigawa Nywele katika mafungu.
6.Uache mchanganyiko huo Wa Nywele na dawa kwa mda Wa dakika (10-15).
7.Baada ya hapo , Zioshe Nywele zako kwa maji safi, kisha ziache zikauke.
Hadi kufikia hapo sina cha ziada.

Saturday, 14 January 2017
VAZI JEUPE NA MUKTADHA WAKE.
Habari zenu wapendwa, ni imani yangu kwamba mko poa zaidi, Karibuni tena katika masuala Yetu ya Urembo, na Leo nataka kuwajuza kuhusu Vazi Jeupe na muktadha wake.
1. Vazi jeupe huvaliwa katika Sherehe mbalimbali mfano; Harusi ,na kipaimara . Katika mazingira hayo Vazi Jeupe huonekana kuwa Vazi linalompendeza sana mlengwa alielivaa, kwani Vaz Jeupe lina asili ya kutomkataa MTU yeyote anaelivaa kulingana na Eneo alilopo.
Hivo Vazi Jeupe n Vazi ambalo huvaliwa sana na Maharusi, na waimarishwa.
Unapovaa Vazi hakikisha linaendana na muktadha uliopo, na sio kuvaa tuu ilmradi.
Tukutane Teena simu nyingine kwa Urembo zaidi.

Monday, 9 January 2017
JINSI YA KUPAKA WANJA.
Habari Zenu wapendwa.
Napenda kuwaelekeza namna ya kupaka wanja na Kukufanya uonekane mrembo zaidi na mwenye kuvutia machoni pa Watu.
ZIFUATAZO NI HATUA ZA KUPAKA WANJA.
1.Kabla hujapaka wanja , kwanza hakikisha Nyusi zako no Safi.
2.Kisha andaa Wanja wako pamoja na kitana kidogo kwa ajili ya kuchania Nyusi zako.
3.Chana Nyusi zako kwa mtindo Mzuri ambao wewe utaupenda, kisha Chukua Wanja wako na kisha upake
chini ya Nyusi zako ambazo tayari Umekwisha zichana,Hakikisha unapaka Vizuri kabisa wanja wako ili kuweza kukufanya Upendeze na kuonekana mrembo zaidi.
5.Baada ya kupaka wanja chini ya Nyusi, paka tena wanja huo juu ya Nyusi zako kwa kufuata jinsi Ulivozichana Nyusi zako.
6.Kisha rudia kuchana tena Nyusi zako kwa kitana ,kwa kufuatisha jinsi ulivopaka wanja wako, Kisha baada ya hapo utaonekana mrembo na mwenye kuvutia zaidi.
Tukutane

Subscribe to:
Posts (Atom)