Kuna namna au njia nyingi za kuitunza ngozi yako zifuatazo ni baadhi ya njia hizo;
1. Epuka Kukaa na Vipodozi usoni kwa Muda mrefu
2. Epuka kutumia mafuta/lotion anayoitumia rafiki yako kwa sababu ngozi zetu huwa zinatofautiana sasa endapo ukiona mwenzio lotion au mafuta fulani yanampendezesha usije fikiria kuwa na wew utapendeza kama Yenye.
3.Epuka kubadili mafuta/lotion mara kwa mara kwa sababu muda mwingi lotion hupishana kemikali, Sasa endapo utakuwa ni mtu wa kupenda kubadili mara kwa mara lotion hii itachangia kwa kias kikubwa ww kuiharibu ngozi yako.
4. Epuka kutumia vipodozi vyenye kemikali kali kwani vipodozi hivo huifanya ngozi kuharibika na kusinyaa na hata kuupa uso wako muonekana usiovutia machoni pa watu.
5. Ili kuiimarisha na kuipendezesha ngozi yako hususani ngozi ya USO,Inakupasa uwe makini katika uchaguzi wa aina ya vipodozi utakavyovitumia.
***Kuwa Makini na Vipodozi Vikali Linda Afya ya Ngozi Yako ***