Zifuatazo ni hatua za kufanya ili kuondoa vipodozi usoni:
1.Chemsha maji ya moto, takribani l
lita moja.
2.Yaache maji hayo yapoe kidogo kwa muda wa dakika tano.
3.Safisha/Osha sasa uso wako , kwa maji hayo ya uvuguvugu,kwa 4. kutumia sabuni.
4. Hakikisha unauacha Uso wako upoe baada ya kuusafisha,kwa mda wa dakika tano.
5.Futa maji usoni kwa kitambaa safi, kisha usipake chochote baada ya kuukausha Uso wako.